BUSTA KUTOA “YEAR OF THE DRAGON” ALBUM Mkali Busta Rhymes ambae amaeshawahi kupiga show Tanzania kwenye show kubwa ya kila mwaka...
BUSTA KUTOA “YEAR OF THE DRAGON” ALBUM
Mkali Busta Rhymes ambae
amaeshawahi kupiga show Tanzania kwenye show kubwa ya kila mwaka ya
Fiesta anatarajia kuachia album yake inayoitwa “Year of the Dragon”
kupitia mtandao kwenye Google online music store. Album hiyo ya Busta
Rhymes “ Year of the dragon” amewashirikisha wasanii wakali katika game
kama Lil Wayne, Rick Ross, Trey Songz, Robin Thickle, Maino, Gucci Maine
na wengine kibao. “ Album yangu ya “ Year of the Dragon” sio album
ambayo sitegemei kufanya biashara na kupata mkwanja itatoka ili kila mtu
aipate bure” Alisema Bus Busta aliyasema hayo kwenye 106 & Park.
List ya "Year of the Dragon" ya Busta Rhymes.
1. “I’m Talking to You”
2. “Til We Die” feat. Trey Songz and Rick Ross
3. “Do That Thing”
4. “Make It Look Easy” feat. Gucci Mane
5. “Pressure” feat. Lil Wayne
6. “Love-Hate” feat. Robin Thicke
7. “Grind Real Slow”
8. “King Tut” feat. Reek Da Villain and J. Doe
9. “Doin It Again” feat. Reek Da Villain and Chanel Nicole
10. “Wine & Go Down” feat. Vybz Kartel
11. “Movie” feat. J. Doe
12. “Crazy”
13. “Bleed the Same Blood” feat. Maino and Anthony Hamilton
2. “Til We Die” feat. Trey Songz and Rick Ross
3. “Do That Thing”
4. “Make It Look Easy” feat. Gucci Mane
5. “Pressure” feat. Lil Wayne
6. “Love-Hate” feat. Robin Thicke
7. “Grind Real Slow”
8. “King Tut” feat. Reek Da Villain and J. Doe
9. “Doin It Again” feat. Reek Da Villain and Chanel Nicole
10. “Wine & Go Down” feat. Vybz Kartel
11. “Movie” feat. J. Doe
12. “Crazy”
13. “Bleed the Same Blood” feat. Maino and Anthony Hamilton
COMMENTS