SHETA APATA MTOTO WA KIKE shetta na mkewe Leila Msanii anaye hit...
SHETA APATA MTOTO WA KIKE
shetta na mkewe LeilaMsanii anaye hits na kibao cha nidanganye danganye yeye na mkewe Leila wamefanikiwa kupata mtoto wa kike jana katika hospital ya St. monica katika nyakati za jioni.tulimuliza Je shetta mtoto wako ungependa kumpa jina gani shetta alifunguka kama ifuatavyo kusema kweli nitampa jina la kyla kwasababu toka mke wangu anajauzito wangu nilimwambia kama tukifanikiwa kupata mtoto wa kike basi tutampa jina la Kyla.Na ndiyo maana nimempa jina ilo pia napenda kutoa shukrani kwa mwenyezi mungu kunipatia mtoto na ndio wasaa wangu wa kuitwa Baba wa familia.
COMMENTS