ltr
item
MSABAHA BLOG: GODZILLA BADO AOTA KOLABO NA 50 CENT's Posted by Teen Newz on August 16, 2012 at 1:00pm 1 Comment 1 Like Msanii toka SalaSala 'Golden Mbunda' A.K.A Godzilla kama anavyojiita mwenyewe Kingzilla ameendelea kuonesha matamanio yake ya kufanya kazi na 50 Cent ikiwa ni baada ya kufanya vingi ili aendane na rapa huyo kutoka G-Unit. Mbali na flow zake Zilla jinsi anaimba, ameamua pia kujijenga kimwili ili aonekane zaidi kama 50 cent pia....!! Leo kupitia ukurasa wake wa Facebook Godzilla ameamua kuzihirisha hamu yake ya kufanya kazi na 50 baada ya kupost picha yake na ya 50 Cent. akiwa ameandika "Kitu ambacho nasubiri ni collabo na this nigga.only". Kwa kuwa katika maisha kila kitu kinawezekan akwa uwezo wa mola Teentz.com inakutakia kila kheri ili siku moja ndoto yako itimie na kuzidi kuitangaza nchi pamoja na muziki wetu.…
GODZILLA BADO AOTA KOLABO NA 50 CENT's Posted by Teen Newz on August 16, 2012 at 1:00pm 1 Comment 1 Like Msanii toka SalaSala 'Golden Mbunda' A.K.A Godzilla kama anavyojiita mwenyewe Kingzilla ameendelea kuonesha matamanio yake ya kufanya kazi na 50 Cent ikiwa ni baada ya kufanya vingi ili aendane na rapa huyo kutoka G-Unit. Mbali na flow zake Zilla jinsi anaimba, ameamua pia kujijenga kimwili ili aonekane zaidi kama 50 cent pia....!! Leo kupitia ukurasa wake wa Facebook Godzilla ameamua kuzihirisha hamu yake ya kufanya kazi na 50 baada ya kupost picha yake na ya 50 Cent. akiwa ameandika "Kitu ambacho nasubiri ni collabo na this nigga.only". Kwa kuwa katika maisha kila kitu kinawezekan akwa uwezo wa mola Teentz.com inakutakia kila kheri ili siku moja ndoto yako itimie na kuzidi kuitangaza nchi pamoja na muziki wetu.…
http://api.ning.com:80/files/4qBaFd45gkJ9LaSNhZ-ULTntHbsLK2gfi9mgIzV7zz1qgCXOvQibqxHBS4NcOCWdxO3OA982qCsYNi4uuIdQKDCUtRm6NEMC/godzillateentztanzania.jpg
MSABAHA BLOG
http://msabaha.blogspot.com/2012/08/godzilla-bado-aota-kolabo-na-50-cents.html
http://msabaha.blogspot.com/
http://msabaha.blogspot.com/
http://msabaha.blogspot.com/2012/08/godzilla-bado-aota-kolabo-na-50-cents.html
6741126810271918050
UTF-8
COMMENTS