SUMA MNAZALETH AJITOA MTANASHATI

Reactions:   SUMA MNAZALET KZJITOA MTANASHATI Ikiwa ni mda mfupi sana tangu alipoingia katika kampuni yenye wasanii ka...

Reactions: 

SUMA MNAZALET KZJITOA MTANASHATI



Ikiwa ni mda mfupi sana tangu alipoingia katika kampuni yenye wasanii kama Dogo janja, Amazon PNC na wengineo  inayojulikana kama watanashati, Suma Mnazareti ameaschana na chama hilo linaloongozwa na ashati Ostaz Juma Namusoma.

"Nimeamua kujitoa mtanashati, na sababu kubwa katika zote ya kujitoa ni kwamba nilifata kazi kwa Ostaz na sio hela zake, so nilichokuwa nadhania ntakipata mtanashati hakipo,Boss anatafta zaidi sifa na ustaa Tanzania na mimi mziki ni kazi yangu..anaweza akagawa mamilioni kwa watu ili atajwe lakini anashindwa kulipa hela ya maana kwa ajili ya video, matokeo yake anatoa shilingi laki tatu? unadhani tutaweza kushindana na video kama za kina Ay za million 30?. nimeuza mpaka balackberry yangu kuongeza kwenye pesa za kukamilisha video yangu, wakati hata nilivyokua ha hustle mwenyewe sikuwahi kuuza sim yangu. so nimejiondoa maana sioni faida yoyote, na mimi mziki kwangu ni kazi nataka nifike mbele zaidi. aliongea Suma

YALIOJIRI KWENYE SHANGWE ZA FIESTA MOSHI

CMB Prezzo doin his thing kwa stage ya Fista Moshi

Nidanganye danganye danganye tuuuuu

Bongo  movies ndani ya nyumba


Baadhi yao tu

Mungu niongezeeeee amen, amen amen 


Ray na Steve Nyerere

Queens wa Movies, Wema na Aunt Ezekiel

Recho

Dj zero


COMMENTS

Name

AJIRA AND SCHOLARSHIPS,3,CELLEBS,5,love tips,1,MAGAZETI,5,michezo,8,MIX-NEWS,11,New audio,36,politics,1,sports,4,stori za mapenzi,1,technology,1,video,28,
ltr
item
MSABAHA BLOG: SUMA MNAZALETH AJITOA MTANASHATI
SUMA MNAZALETH AJITOA MTANASHATI
http://4.bp.blogspot.com/-28qAoyoU4co/UDjZ8Ea_wUI/AAAAAAAALSc/UMXTDzJgRSE/s400/suma2.jpg
http://4.bp.blogspot.com/-28qAoyoU4co/UDjZ8Ea_wUI/AAAAAAAALSc/UMXTDzJgRSE/s72-c/suma2.jpg
MSABAHA BLOG
http://msabaha.blogspot.com/2012/08/suma-mnazaleth-ajitoa-mtanashati.html
http://msabaha.blogspot.com/
http://msabaha.blogspot.com/
http://msabaha.blogspot.com/2012/08/suma-mnazaleth-ajitoa-mtanashati.html
true
6741126810271918050
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy