...
OMMY DIMPOZ AFANYA MAMBO CLUB MAISHA
Posted by Teen Newz on September 10, 2012 at 1:27pm
2 Comments
0 Likes
Wasanii wenzake walikuwepo kumsindikiza Ommy Dimpozi, msanii kama Chege Chigunda alikuwa mmoja kati ya wasanii waliofanya poa sana na kupata shangwe nyingi hadi kufikia time ya Ommy mwenyewe kupanda katika steji ya Maisha Club…
COMMENTS