MWILI WA MAREHEM NGWEA KUFIKA SIKU YA JUMAPILI BADALA YA JUMAMOSI NA KUAGWA JUMATATU Kamati ya mipango ya mazishi ya mare...
MWILI WA MAREHEM NGWEA KUFIKA SIKU YA JUMAPILI BADALA YA JUMAMOSI NA KUAGWA JUMATATU
Kamati ya mipango ya mazishi ya marehem Ngwea wametoa taarifa mpya
kwamba mwili wa ndugu yetu Albert Mangwea utafika siku ya juma pili ya
tarehe 2 / 6 saa nane mchana na sio siku ya jumamosi kama
ilivyotaarifiwa hapo awali.
sababu za mwili wa Albert Mangwea kushindwa kufika jumamosi kama
ilivyopangwa ni kutokana na watanzania waishio Africa Kusini, kuomba na
wao...Read More
COMMENTS