Diamond ampa kichapo Wema Sepetu kisa Victoria Kimani

Diamond ampa kichapo Wema Sepetu kisa Victoria Kimani Kupitia U HEARDS ya Gossip Cop leo hii, kumekuwa na story ya ugomvi mkubwa...

Diamond ampa kichapo Wema Sepetu kisa Victoria Kimani



Kupitia U HEARDS ya Gossip Cop leo hii, kumekuwa na story ya ugomvi mkubwa uliotokea usiku wa kuamkia leo katika studio zilizopo Maeneo ya Leaders, ambapo mastaa wawili ambao wameurudisha uhusiano wao hivi karibuni "Diamond na Wema" wamejikuta katika ugomvi mkubwa baada ya Ommy Dimpoz kupost Video inayowaonyesha Diamond, Ommy Dimpoz na Victoria kimani wakiwa studio,

Ripoti zinadai kuwa Wema alikuja speed katika studio hizo akiongozana na Aunt Ezekiel,  na kuanzisha timbwili akidai kuwa Diamond atakuwa na uhusiano na Victoria Kimani.


Shuhuda wa blog hii aliekuwepo katika eneo la tukio amesema kuwa ngumi zilidum kwa takribani masaa mawili huku Producer Tuddy na Ommy Dimpoz wakihangaika kuachanisha ugomvi huo, Ugomvi huo pia umesababisha Diamond kushika simu ya Wema na kupasua chini huku wakitupiana maneno machafu ya wewe umetembea na fula huku mwingine akimwambia na wewe mbona umetembea na flani na flani, kauli iliyoishia Diamond kumwambia Wema kuwa yeye ndio anamuweka mjini kwa sasa 
Tetesi za kuwepo kwa uhusiano wa kimapenzi kati ya the sexy Victoria Kimani na Diamond zilianza kuvuma baada ya kuonekana katika pich aya pamoja wakiwa katika moja ya picha za one project Campaign, ambapo wote walikan akuwa na uhusiano wa kimapenzi.

COMMENTS

Name

AJIRA AND SCHOLARSHIPS,3,CELLEBS,5,love tips,1,MAGAZETI,5,michezo,8,MIX-NEWS,11,New audio,36,politics,1,sports,4,stori za mapenzi,1,technology,1,video,28,
ltr
item
MSABAHA BLOG: Diamond ampa kichapo Wema Sepetu kisa Victoria Kimani
Diamond ampa kichapo Wema Sepetu kisa Victoria Kimani
http://www.timesfm.co.tz/content/uploads/2014/3/5/cache/diamon%20na%20victoria%20kimani_full.jpg
MSABAHA BLOG
http://msabaha.blogspot.com/2014/03/diamond-ampa-kichapo-wema-sepetu-kisa.html
http://msabaha.blogspot.com/
http://msabaha.blogspot.com/
http://msabaha.blogspot.com/2014/03/diamond-ampa-kichapo-wema-sepetu-kisa.html
true
6741126810271918050
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy