sikilize hapa single mpya ya Jux aliyomwimbia Jackie Cliff Posted by: TZA One March 4, 2014 Ent. 1226 views Kwenye XXL ya ...
sikilize hapa single mpya ya Jux aliyomwimbia Jackie Cliff
Kwenye
XXL ya Clouds FM March 4 2014 mwimbaji Jux amekubali kwamba hii single
yake mpya amemuimbia mpenzi wake ambae ni Jackie Cliff, mrembo wa
Kitanzania ambae ilidaiwa amekamatwa nchini China na dawa za kulevya.Hii ni nafasi yako kuusikiliza na pia unaweza ku-download hapa.
COMMENTS