AJALI MBAYA YAUWA WATU CHANGARAWE MAFINGA

Ajali mbaya imetokea maeneo ya Mafinga Iringa sehemu kunaitwa Changarawe ambapo gari aina lori lilokuwa likitokea Dar kwenda Mbeya...





Ajali mbaya imetokea maeneo ya Mafinga Iringa sehemu kunaitwa Changarawe ambapo gari aina lori lilokuwa likitokea Dar kwenda Mbeya ambapo lilikuwa likikwepa shimo kubwa lililopo katikati ya barabara na kugongana na gari la abiria la Kampuni ya Majinja lililokuwa likitoka Mbeya kwenda Dar. Hii ni maelezo ya trafki aliyepo hapa.

Kontena la lori limelalia kabisa basi, na watu wengine wamelaliwa na wengine wameporomokea korongoni, mpaka sasa hakuna majeruhi ni maiti tu, wala hakuna mtu ambaye inadhaniwa amepona.

- Kuna watoto wawili hapa, makadirio ya miaka ni mitatu na saba, lakini hawa inasemekana kwamba walirushwa korongoni kutokana na huo mgongano.

- Uokoaji wa maiti na majeruhi walionasa kwenye ajali hapa eneo la tukio unazorota kutokana na ukosefu wa Gesi ya kukata basi kukosekana Mafinga. Juhudi zinafanyika ili kuweza kuokoa majeruhi pamoja na maiti.


Watu wengi wanahofiwa kufa katika ajali ya Basi linalosemekana kuangukiwa na Kontena. katika eneo la Mafinga, Mkoani Iringa Nyanda za juu kusini mwa Tanzania,

COMMENTS

Name

AJIRA AND SCHOLARSHIPS,3,CELLEBS,5,love tips,1,MAGAZETI,5,michezo,8,MIX-NEWS,11,New audio,36,politics,1,sports,4,stori za mapenzi,1,technology,1,video,28,
ltr
item
MSABAHA BLOG: AJALI MBAYA YAUWA WATU CHANGARAWE MAFINGA
AJALI MBAYA YAUWA WATU CHANGARAWE MAFINGA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEi7bir4F7VRzFQc8-8j-aptOj9khzdNrGJScLREMIjjJhk8cNmY_DicFyWZVsPmys1g0uaLA-aF24nCvTVH1Voi4Sn3cAQO3rPbZfaaGRJbyEwaQGQNa2hPJjslIdcU80_hcI9MaoNa3Cqt/s1600/mafinga+2.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEi7bir4F7VRzFQc8-8j-aptOj9khzdNrGJScLREMIjjJhk8cNmY_DicFyWZVsPmys1g0uaLA-aF24nCvTVH1Voi4Sn3cAQO3rPbZfaaGRJbyEwaQGQNa2hPJjslIdcU80_hcI9MaoNa3Cqt/s72-c/mafinga+2.jpg
MSABAHA BLOG
http://msabaha.blogspot.com/2015/03/ajali-mbaya-yauwa-watu-changarawe.html
http://msabaha.blogspot.com/
http://msabaha.blogspot.com/
http://msabaha.blogspot.com/2015/03/ajali-mbaya-yauwa-watu-changarawe.html
true
6741126810271918050
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy