Timu ya non Swahili takers Saint Augustine university yafanya kweli kwenye mashindano kwa kuifunga timu ya Swahili takers goli tatu kwa moja...
Timu ya non Swahili takers Saint Augustine university yafanya kweli kwenye mashindano kwa kuifunga timu ya Swahili takers goli tatu kwa moja mechi hiyo ilitanguliwa na mechi ya diploma 1 na diploma 2 ambapo mechi ilimalizika kwa timu ya diploma 2 kushinda goli mbili kwa moja
COMMENTS