AJALI NYINGINE YA BASI YATOKEA JIJINI MBEYA WATU ZAIDI YA 20 WADAIWA KUPOTEZA MAISHA

Basi dogo aina ya Toyota Hiace imetumbukia kwenye Mto Kiwira m...

Basi dogo aina ya Toyota Hiace imetumbukia kwenye Mto Kiwira mapema leo na inadaiwa kuwa zaidi ya watu 20 waliokuwepo kwenye basi hilo wamepoteza Maisha.
Kwa mujibu wa mtoa taarifa, amesema kwamba ajali hii imetokea wakati Mabasi yafanyayo safari zake kati ya Mbeya na Kyela (maarufu kama Coaster) kugoma kutoa huduma ya kusafirisha abiria katika maeneo hayo, hivyo baadhi ya hiace za mjini kuamua kubeba abiria, hali iliyopelekea hiace hizo kubeba abiria wengi zaidi ya uwezo wake.
Inaelezwa kuwa gari hiyo ilipoteza muelekea na kuingia mtoni, baada ya dereva wake kushindwa maarifa kutokana na mwendo aliokuwa nao.
Mungu aziweke pema roho za marehemu hao,Amin.Pichani ni Baadhi ya wakazi wa maeneo ya jirani na ilipotokea ajali hiyo wakiiangalia basi hiyo ikiwa kando kando ya mto Kiwira.Wananchi wa Mji wa Kiwira wakienda kuangalia ajali hiyo.Sehemu ya wananchi wa Mji wa Kiwira wakiangalia Baadhi ya Miili ya Watu waliopoteza maisha kwenye ajali hiyo.

COMMENTS

Name

AJIRA AND SCHOLARSHIPS,3,CELLEBS,5,love tips,1,MAGAZETI,5,michezo,8,MIX-NEWS,11,New audio,36,politics,1,sports,4,stori za mapenzi,1,technology,1,video,28,
ltr
item
MSABAHA BLOG: AJALI NYINGINE YA BASI YATOKEA JIJINI MBEYA WATU ZAIDI YA 20 WADAIWA KUPOTEZA MAISHA
AJALI NYINGINE YA BASI YATOKEA JIJINI MBEYA WATU ZAIDI YA 20 WADAIWA KUPOTEZA MAISHA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhT_dRAcH-kEthXahgzAjpeq3aI48Rp3ILQmWCXaSGsUB_1cgAFYUKNSiB2IHnQ8bLYI3GERqLQdW2cBnj4W6cdbPa2CAF0SpiF4moUo5RT6WtaQGGoDlTJF1w4D0FWsJQ6mlmywf0E4FQy/s1600/IMG-20150417-WA0004+copy.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhT_dRAcH-kEthXahgzAjpeq3aI48Rp3ILQmWCXaSGsUB_1cgAFYUKNSiB2IHnQ8bLYI3GERqLQdW2cBnj4W6cdbPa2CAF0SpiF4moUo5RT6WtaQGGoDlTJF1w4D0FWsJQ6mlmywf0E4FQy/s72-c/IMG-20150417-WA0004+copy.jpg
MSABAHA BLOG
http://msabaha.blogspot.com/2015/04/ajali-nyingine-ya-basi-yatokea-jijini.html
http://msabaha.blogspot.com/
http://msabaha.blogspot.com/
http://msabaha.blogspot.com/2015/04/ajali-nyingine-ya-basi-yatokea-jijini.html
true
6741126810271918050
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy