Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Askofu Josephat Gwajima akiwa ameshikana mkono na mshtakiwa mwenzake askofu msaidizi, Yekamia B...

Askofu
wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Askofu Josephat Gwajima akiwa ameshikana
mkono na mshtakiwa mwenzake askofu msaidizi, Yekamia Behagaza wakati
wakitoka katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam
leo, walipofikishwa mahakamani hapo kwa kosa la kutoa lugha za matusi na
kukutwa na silaha kinyume cha sheria.(Picha na Francis Dande wa Habari
Mseto Blog)

Askofu
wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Askofu Josephat Gwajima akiwa ameshikana
mkono na mshtakiwa mwenzake askofu msaidizi, Yekamia Behagaza wakati
wakitoka katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam
leo, walipofikishwa mahakamani hapo kwa kosa la kutoa lugha za matusi na
kukutwa na silaha kinyume cha sheria.

Askofu
wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Askofu Josephat Gwajima (katikati) akiwa
na mshtakiwa mwenzake askofu msaidizi, Yekamia Behagaza wakati wakitoka
katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam leo,
walipofikishwa mahakamani hapo kwa kosa la kutoa lugha za matusi na
kukutwa na silaha kinyume cha sheria.

Askofu Gwajima (kushoto) akitoka mahakamani.

Gari la Polisi likiwa katika doria nyumbani kwa Gwajima leo.

Polisi wakitoka katika mahakama ya Kisutu ambako askofu Gwajima alifikishwa mahakamani hapo.

Polisi wakiwa katika gari maalum la maji ya kuwasha wakati wakitoka mahakamani.
COMMENTS