...

Kufuatia kifo cha kutatanisha cha Lusekelo Samson Mwandenga ‘Secky’, watu wengi walianza kumtukana Lulu wakimhusisha pia na kifo hicho huku pia wakipost picha zinazomuonesha alipokuwa na marehemu.Hata hivyo mujibu wa Global Publishers, familia ya Secky imeweka wazi chanzo halisi cha kifo chake.

“Lulu ni msanii mdogo sana kiumri na amepitia mitihani mikubwa sana katika maisha ambayo mimi na wewe kabda tusingeiweza kuikabili plz nawaomba tumuache kwa sasa inatosha jamani kumbukeni huyu ni binadamu na moyo kama nilivyokuwa mimi na wewe hivi utajisikiaje km utasikia lulu amejizulu kwa namna yeyote ile kutokana na maneno yako ya kumshambulia mitandaoni,” ameandika kwenye Instagram.“Kumbukeni sisi ni banadamu atuijui leo yetu itaishaje wala kesho yetu itakuwaje? Plz inatosha sasa watanzania wenzangu. MTAARIFU NA MWINGINE.”Miaka miwili iliyopita Lulu aliwahi kukaa jela kutokana na kushtakiwa kwa kumuua bila kukusudia Steven Kanumba aliyekuwa mpenzi wake.
CHANZO: BONGO 5
COMMENTS