ikiwa leo ni uzinduzi wa kampeni za kuwania urais, ubunge na udiwani kupitia chama cha mapinzuzi CCM DR.John pombe magufuli amejaza wat...
ikiwa leo ni uzinduzi wa kampeni za kuwania urais, ubunge na udiwani kupitia chama cha mapinzuzi CCM DR.John pombe magufuli amejaza watu isivyo kawaida katika viwanja hivyo aidha amehaidi kuifanya Tanzania kua nchi ya viwanda na atachukua hatua kali dhidi ya wala rushwa na mafisadi
COMMENTS