UKAWA WAKATALIWA KUFANYA MKUTANO JANGWANI JUMAMOSI HII TRH 29/8/2015

‪ Uongozi wa Jiji la Dar es Salaam wamemzuia Mgombea wa UKAWA, Edward Lowassa kuzindua kampeni yake kwenye viwanja vya Jangwani Jumamo...


East Africa Television (EATV)'s photo.Uongozi wa Jiji la Dar es Salaam wamemzuia Mgombea wa UKAWA, Edward Lowassa kuzindua kampeni yake kwenye viwanja vya Jangwani Jumamosi ya 29 Agosti, 2015.
Mwenyekiti Mwenza wa UKAWA, James Mbatia amesema jiji umewagomea kufanya uzinduzi huo Jangwani kwa madai kuwa tayari kuna mtu mwingine ambaye ameshalipia uwanja huo.
Mbatia anasema pamoja na kufanya juhudi za kuomba kutajiwa aliyelipia uwanja huo ili wazungumze naye, Jiji walikataa.
Mbatia anasema viongozi wengine wa UKAWA wanashughulikia suala hilo ikiwa pamoja na kumtaka Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi, Damian Lubuva kuingilia kati.

COMMENTS

Name

AJIRA AND SCHOLARSHIPS,3,CELLEBS,5,love tips,1,MAGAZETI,5,michezo,8,MIX-NEWS,11,New audio,36,politics,1,sports,4,stori za mapenzi,1,technology,1,video,28,
ltr
item
MSABAHA BLOG: UKAWA WAKATALIWA KUFANYA MKUTANO JANGWANI JUMAMOSI HII TRH 29/8/2015
UKAWA WAKATALIWA KUFANYA MKUTANO JANGWANI JUMAMOSI HII TRH 29/8/2015
https://fbcdn-sphotos-c-a.akamaihd.net/hphotos-ak-xfp1/v/t1.0-9/p480x480/11933452_1301189989895416_4275750008215305344_n.jpg?oh=87836600efde226fc5db4446c1e105ce&oe=56703FDA&__gda__=1450083083_d97f1052af5ad6af08f0f4ff1c4445a3
MSABAHA BLOG
http://msabaha.blogspot.com/2015/08/ukawa-wakataliwa-kufanya-mkutano.html
http://msabaha.blogspot.com/
http://msabaha.blogspot.com/
http://msabaha.blogspot.com/2015/08/ukawa-wakataliwa-kufanya-mkutano.html
true
6741126810271918050
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy