Waziri Mkuu Mstaafu Frederick Sumaye ametangaza rasmi kujiondoa kutoka Chama cha Mapinduzi CCM na kujiunga na UKAWA. Sumaye ametoa ...
Waziri Mkuu Mstaafu Frederick Sumaye ametangaza rasmi kujiondoa kutoka Chama cha Mapinduzi CCM na kujiunga na UKAWA.
Sumaye ametoa kauli hiyo muda si mrefu Jijini Dar es Salaam na anakuwa Waziri Mkuu Mstaafu wa pili kujiunga na UKAWA baada ya Mhe. Edward Lowassa kufanya hivyo.

COMMENTS