Umati wa wananchi katika kata ya mabatini jijini MWANZA wakimshangilia ndg MABULA Wananchi wakifanya maandamano kwa matarumbeta waki...

Umati wa wananchi katika kata ya mabatini jijini MWANZA wakimshangilia ndg MABULA
Wananchi wakifanya maandamano kwa matarumbeta wakimshangilia
Jimbo la NYAMAGANA ndiyo jimbo linalosemekana kua jimbo gumu kuliko majimbo yote Tanzania kwani toka mwaka 1985 chini ya BOMANI hua wabunge wanakaa msimu mmoja tu yaani miaka mitano peke yake ugumu huo unaonekana hata kwa Ezekiel Wenje ambae ndio anashikilia jimbo hilo kwani amepata upinzani mkubwa hasa kwa mgombea wa CCM ngd STANSLAUS MABULA.
COMMENTS