Baraza la mitihani la taifa limetangaza matokeo ya kidato cha nne ambapo Watahiniwa 113,489 wamefeli Akitangaza matokeo hayo, Katibu Mt...
Baraza la mitihani la taifa limetangaza matokeo ya kidato cha nne
ambapo Watahiniwa 113,489 wamefeli
Akitangaza matokeo hayo, Katibu Mtendaji wa Baraza hilo Dkt Charles Msonde amesema kuwa jumla watahiniwa 272,947 sawa na 67.53% ya watahiniwa wote waliofanya mtihani wa kidato cha nne 2015 wamefaulu tofauti na mwaka 2014 ambapo ufaulu ulikuwa 68.33%.
BOFYA HAPA>>> KUTIZAMA MATOKEO

COMMENTS