Diamond platnumz leo katika ukurasa wake wa instagram amepost kusapot show ya Wema sepetu (x wake) ambaye kwa upande mwingine alikua ni ha...
Diamond platnumz leo katika ukurasa wake wa instagram amepost kusapot show ya Wema sepetu (x wake) ambaye kwa upande mwingine alikua ni hasimu wake kutokana na nguvu kubwa zilizokuwepo katika timu zao yaani timu dimond na timu wema sepetu ambazo kila timu ilikua hai suport timu nyinginre
hapo chini ni maneno aliyo yaandika nguli huyo wa muziki diamond plutnumz
COMMENTS