Rais Magufuli amemteua Dk. Harrison Mwakyembe kuwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, amechukua nafasi ya Waziri Nape Nnau...
Rais Magufuli amemteua Dk. Harrison Mwakyembe kuwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, amechukua nafasi ya Waziri Nape Nnauye.
Pia Rais Magufuli amemteua Prof. Palamagamba Aidan John Mwaluko Kabudi kuwa Waziri wa Katiba na Sheria.
Taarifa hiyo imetolewa kupitia tovuti ya serikali iliyoeleze mabadidliko madogo kwenye baraza la mawaziri
COMMENTS