MAAJABU MECHI YA BARCELONA NA PSG

Inaonekana kama ajbu japo katika SOKA kili kitu kinaweza kutokea Timu ya  Barcelona wamebadili matokeo ya kutinga nusu fainali kwa kui...



Inaonekana kama ajbu japo katika SOKA kili kitu kinaweza kutokea Timu ya 
Barcelona wamebadili matokeo ya kutinga nusu fainali kwa kuizaba Paris Saint Germain kwa mabao 6-1 katika mchezo wa marudiano wa Klabu Bingwa Ulaya.Sergi Roberto alifunga bao la 6 kwa mkwaju wa mwisho wa mchezo, na hivyo kufanya matokeo ya jumla kuwa 6-5 kwenye mchezo uliopigwa kwenye dimba la Nou Camp.
Barcelona walifunga magoli matatu katika dakika saba za mwisho. Walikuwa wakiongoza kwa 3-1.
Wiki tatu zilizopita PSG iliifunga Barcelona magoli 4-0 mjini Paris.
Hatua ya kurejesha magoli yote hayo ni kubwa kuwahi kushuhudiwa katika historia ya UEFA, na sasa Barcelona wana kila nafasi ya kunyanyua kombe la Klabu Bingwa Ulaya kwa mara ya pili katika kipindi cha miaka mitatu.
Katika mchezo mwingine, Pierre Emerick Aubameyang alipachika 'hat trick' na kuipeleka Borussia Dortmund katika robo fainali dhidi ya Benfica.
Borussia Dortmund wameshinda kwa jumla ya magoli 4-1 katika mechi mbili walizocheza.

COMMENTS

Name

AJIRA AND SCHOLARSHIPS,3,CELLEBS,5,love tips,1,MAGAZETI,5,michezo,8,MIX-NEWS,11,New audio,36,politics,1,sports,4,stori za mapenzi,1,technology,1,video,28,
ltr
item
MSABAHA BLOG: MAAJABU MECHI YA BARCELONA NA PSG
MAAJABU MECHI YA BARCELONA NA PSG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjQE5dzcnlMOdLJJ-Pmau8YmSYRlT2VzubYNpq_RNI7RTws-nX4jPRwRUvgbb66gJ0VWL_1sL6NyhFKZldbds_iddQCwctYt6PWzYVDzbehy6xkgMJCD120pmsFIDOFQSAmnWovvQmT7S-s/s640/BACA.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjQE5dzcnlMOdLJJ-Pmau8YmSYRlT2VzubYNpq_RNI7RTws-nX4jPRwRUvgbb66gJ0VWL_1sL6NyhFKZldbds_iddQCwctYt6PWzYVDzbehy6xkgMJCD120pmsFIDOFQSAmnWovvQmT7S-s/s72-c/BACA.jpg
MSABAHA BLOG
http://msabaha.blogspot.com/2017/03/maajabu-mechi-ya-barcelona-na-psg.html
http://msabaha.blogspot.com/
http://msabaha.blogspot.com/
http://msabaha.blogspot.com/2017/03/maajabu-mechi-ya-barcelona-na-psg.html
true
6741126810271918050
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy