Makubwa yazuka katika BIFU zito kati ya TID na Steve Nyerere

Baada ya msanii wa filamu za vichekesho Steve Nyerere kuambiwa yeye ni panya na TID, muigizaji huyo ameibuka na kujibu mapigo.Wawili hao...

Baada ya msanii wa filamu za vichekesho Steve Nyerere kuambiwa yeye ni panya na TID, muigizaji huyo ameibuka na kujibu mapigo.Wawili hao walianza kutupia maneno kutokana na sakata la madawa za kulevya baada ya muigizaji huyo kudai TID alilipwa milioni 2 na RC Makonda kuzungumza mbele wa waandishi wa habari kuhusu issue ya yeye kuachana na matumizi ya dawa za kulevya.
Muigizaji huyo alidai yeye hawezi kuanza kujibishana na TID kwa kuwa TID si kitu chochote.
“Siwezi kubishana na TID ambaye akiona gari yangu analikimbia apate chochote kitu. Kwahiyo nikianza kubishana naye nitakuwa napoteza muda, halafu mimi na TID ni kama vidole kuna kikubwa na kidogo yeye wakati wake ulishapita huu ni wakati wa Steve lazima ajenge heshima,” Steve Nyerere alikiambia kipindi cha Enewz cha EATV.
Aliongeza “Alivyonifananisha na panya nimependa kweli, kwanza namsifu kwa sababu amenifananisha na kiumbe mjanja. Kwahiyo mimi nasema bora mimi panya kuliko yeye paka ambaye anasubiri atengewe ale, nimefurahi sana kwa sababu amenisifia kunifanisha na mnyama mjaja,”.
Kuhusu issue na kuburuzwa mahakamani kwa tuhumu alizozitoa dhidi ya TID, Steve Nyerere ameomba radhi kwa kauli ile huku akidai tayari alishaomba msahama mbele ya waandishi wa habari kwa wote aliowazungumzia kwenye audio ambayo ilisambaa mitandaoni.

COMMENTS

Name

AJIRA AND SCHOLARSHIPS,3,CELLEBS,5,love tips,1,MAGAZETI,5,michezo,8,MIX-NEWS,11,New audio,36,politics,1,sports,4,stori za mapenzi,1,technology,1,video,28,
ltr
item
MSABAHA BLOG: Makubwa yazuka katika BIFU zito kati ya TID na Steve Nyerere
Makubwa yazuka katika BIFU zito kati ya TID na Steve Nyerere
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiAe4bdBKg_5Q-yfbB50aWSW3lSxhHVhAbKnP8ltEtiGvZKYUFVCB7inrsq2Mtcf0Bc6MtDaPaw1XV5M-QmAhvE9avGVLtuzIWn5ZbLd6L0iDtg9mS54Pjb6oHgBunVdxAOszsCpvP-D3nY/s320/Steve-Nyerere.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiAe4bdBKg_5Q-yfbB50aWSW3lSxhHVhAbKnP8ltEtiGvZKYUFVCB7inrsq2Mtcf0Bc6MtDaPaw1XV5M-QmAhvE9avGVLtuzIWn5ZbLd6L0iDtg9mS54Pjb6oHgBunVdxAOszsCpvP-D3nY/s72-c/Steve-Nyerere.jpg
MSABAHA BLOG
http://msabaha.blogspot.com/2017/03/makubwa-yazuka-katika-bifu-zito-kati-ya.html
http://msabaha.blogspot.com/
http://msabaha.blogspot.com/
http://msabaha.blogspot.com/2017/03/makubwa-yazuka-katika-bifu-zito-kati-ya.html
true
6741126810271918050
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy