YALIYOJILI KATIKA KESI YA MASOGANGE

   Upelelezi wa kesi ya kutumia dawa za kulevya inayomkabili  Agnes Gerald Waya maarufu kama Masogange(28) katika Mahakama ya Kisutu ba...

 
 Upelelezi wa kesi ya kutumia dawa za kulevya inayomkabili  Agnes Gerald Waya maarufu kama Masogange(28) katika Mahakama ya Kisutu bado haujakamilika.
Wakili wa Serikali, Adolf Mkini ameeleza hayo leo wakati kesi ilipotajwa kwa Hakimu Mkazi Mkuu, Wilbroad Mashauri.
Mkini alidai kuwa upelelezi bado haujakamilika na mshtakiwa hayupo mahakamani hapo.
Baada ya kueleza hayo, wakili wa Masogange, Nictogen Itege ameiambia Mahakama kuwa mteja wako hiyo alikuwa njiani kuelekea mahakamani lakini alikwama katika foleni eneo la Jangwani.
Masogange anakabiliwa na mashtaka mawili ya kutumia dawa za kulevya aina ya Heroin na Oxazepam.

COMMENTS

Name

AJIRA AND SCHOLARSHIPS,3,CELLEBS,5,love tips,1,MAGAZETI,5,michezo,8,MIX-NEWS,11,New audio,36,politics,1,sports,4,stori za mapenzi,1,technology,1,video,28,
ltr
item
MSABAHA BLOG: YALIYOJILI KATIKA KESI YA MASOGANGE
YALIYOJILI KATIKA KESI YA MASOGANGE
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjc0DNttgDBIcqMgjo0_Wems6fqA83eUxfKB6dgJwfUH3DPsZgqndnXQECzujjT3zap3bTBlKlk5wyRKmiYR2aWiLLg0iTtH_cqFohOr-b8H7RmhmMUPDQkPKOGUgbhZ6fpkqgks_81nEW7/s640/Agnes-Masogange-Biography.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjc0DNttgDBIcqMgjo0_Wems6fqA83eUxfKB6dgJwfUH3DPsZgqndnXQECzujjT3zap3bTBlKlk5wyRKmiYR2aWiLLg0iTtH_cqFohOr-b8H7RmhmMUPDQkPKOGUgbhZ6fpkqgks_81nEW7/s72-c/Agnes-Masogange-Biography.jpg
MSABAHA BLOG
http://msabaha.blogspot.com/2017/03/yaliyojili-katika-kesi-ya-masogange.html
http://msabaha.blogspot.com/
http://msabaha.blogspot.com/
http://msabaha.blogspot.com/2017/03/yaliyojili-katika-kesi-ya-masogange.html
true
6741126810271918050
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy