KIM KARDASHIAN NA KANYE WEST KATIKA PROMO YA VMA 2012. Tuzo gani inayohappen sikuhizi bila ya kuwa na vichekesho ndani yak...
KIM KARDASHIAN NA KANYE WEST KATIKA PROMO YA VMA 2012.
Tuzo gani inayohappen sikuhizi
bila ya kuwa na vichekesho ndani yake? tumeona hata kili mwaka huu
walikuwa na Mpoki na ilienda poa sana, kwa wenzetu mara nyingi mkali wao
Kevin Hart huwa anawakilisha.
na kwa wenzetu ukitaka publicity basi waalike Kim na Kanye.
Kevin,
Kim na Kanye wameunganisha nguvu na kuwa MTV VMA’s hottest new
couple; KEVKIMYE au ‘KKK’ katika promo mpya kwa ajili ya show hiyo
ambayo inatarajiwa kufanyika tarehe 6 mwezi wa tisa in a new promo for
the show which is scheduled to air on September 6th. Or actually, the
hottest new couple thing may be just a figment of Kevin Hart’s imagination.
Mwaka
huu Kanye West anashindania Best Hip – Hop Video na Best Editing na
“Mercy” Best Direction na Best Hip – Hop Video na ngoma ya “Ortis”
akiwa na Jay – z na Best Editing akiwa na “Paris” akiwa na Jay – Z
tena.
cheki na promo hiyo, hapo chini
cheki na promo hiyo, hapo chini
SINTAH: HUYU NI NANI?ETI MUIMBAJI?HAPATIKANI GOOGLE AU NDIO WALE KIINGILIO BUKU UZINDUZI TANDALE
leo
hii katika pita pita zangu, nimekutana na story hii iliyoandikwa
kupitia sintah.com, ikionekana kuwa ni majibu kwa Ney wa mitego, baada
ya kuongea kwenye Take one kuhusu single yake ya NASEMA NAO na kumtaja
mwanadashosti Sintah kuwa anafanya chochote kile ilimradi arudi kwenye
game...... na haya ndio majibu yaliyofumuka.....
hivi wa wapi weweee,mbona husomeki weweee,tume googlehupatikani wewe,shukurani kwa mdogo wako alietuletea picha yako ya beach, sijui nani sijui nay utaweza??
jipange,namuonea huruma mama yako kuzaa kiumbe
kilichoharibikiwa, nina jaribu ku google naona neyo wa Us sasa nisaidie nitupie kwa mnyamani au kiembe mbuzi niambieeee ili nikupate my brodaaaaa you have just tickled a private part of a tiger,,, you wanted promo now you gotta maza vitumbua
NEY WA KUJITEGA MWENYEWE MAANA
UNA CHASTE MBU SIJUI UTAMTEGA NANI, KAMA UNA SHIDA NA MIMI DJ DJ DJ AND MY BRODAA CHOKA ANAJUA NINAPOEGESHA MILONJO YANGU SASA KAMA UNATAKA KUIKATA KAMA ULIVYOWAMBIA WATU WAKO BBM(MAANA HU HUNA HADHI YA KUKAA KTK MY BBM LIST) MWAMBIE AKULETE MDOMO HUPONZA KICHWA NA UMEJIPONZA LOVES LEO NIMEWAFUNGULIA COMMENT MTU AKIGUSWA ATAJIJUA MAANA NIMECHOKA KUONEA WATU HURUMA KAMA NOMA NA IWE NOMA
NEY NIMESHAMPA RUHUSA MLINZI AKURUHUSU UINGIE SWALI ANAKUJUA??? JIPANGE ULIPOCHOKOZA SIPO KABISA UNSTOPPABLE NOTHING BUT CONFIDENCE
MSICHANA AMBAYE ANA TWO SIDES (COOPERATE FIGURE NA ACTRESS) OOH SORRY USIJE MCHANA NITAKUWA SERENA NINA APPOINTMENT NA WORLD BANK CREW CONCERNING MY LAUNCH
SINA SHIDA NA MTU ILA UKINIANZA HUWA NAMALIZA SHIDA ZAKO
cc to naxylady upo kwenye cue usitafute maarufu maana umaarufu hauji kwa njia za panya from Unstoppable
MA International Relations & Diplomacy
COMMENTS