MKWANJA WA P DIDDY, JO MAKINI AFUNGUKA ...
MKWANJA WA P DIDDY, JO MAKINI AFUNGUKA
Akizungumza na teentz.com mapema leo Jo Makini amesema kuwa licha ya kuwa mastaa hao wa Marekani wanafanya mambo mengi yanayowafanya kuingiza mkwanja mrefu lakini wakati mwingine suala hili linaweza kuwa liko kibiashara zaidi kwasababu katika orodha inayotajwa kila mara ndani yake kuna watu ambao kimuziki wanakuwa wameshuka kwa wakati huo na kinachowabeba ni biashara zao.
"Naona liko kibiashara zaidi kwani kuna wakati wanaotajwa kuwa na kiwango hicho cha mkwanja wanakuwa wameshuka kimuziki isipokuwa wanalindwa na biashara na kitu kikingine ninachokiona mimi pengine uwa…
COMMENTS