DR ATHIBITISHA HALI YA M2THEP KUENDELEA VIZURI NA KUWA ANAONGEA KWA SASA habari zenye uhakika kutoka kwa Dr aliekuwa ICU, katika h...
DR ATHIBITISHA HALI YA M2THEP KUENDELEA VIZURI NA KUWA ANAONGEA KWA SASA
habari zenye uhakika kutoka kwa Dr aliekuwa ICU, katika hospitali ya St
Hellen Joseph, zimethibitisha kuwa msanii aliekuwa na Ngwea wakati mauti
yanamkuta, ambae yeye pia alikua hoi hospitali, anaendelea vizurin, na
anaongea kwa sasa, ila uchunguzi wa kile kilichosababisha kufikishwa
hospitali hapo bado unaoendelea
hapa Dr anaongea kuhusu maendeleo ya M2theP
hapa anazungumzia kilichosababisha ugonjwa huo wa kumyanya afikie kuwa ICU
baada ya kuongea nae machache hayo, tulimuomba kuongea na mgonjwa,
lakini Dr alikataa na kusema kuwa kwa kuwa anaongea basi tuongee na
ndugu zake ambao wanakuja kumjulia hali hospitalini hapo
COMMENTS