CLUB Posted by Teen Newz on May 22, 2013 at 2:00pm ...
CLUB
Posted by Teen Newz on May 22, 2013 at 2:00pm
0 Comments
0 Likes
Baada ya mpambano kufanyika Dar live kumtafuta nani anafanya mziki wa kweli between hip hop na wale mchele mchele(bongo fleva)na kukosekana mshindi ishu nzima inahamia Maisha club,show ikiwa tofauti kabisa na zilizopita,hapa kutakuwa na black carpet kwa Hip hop wakiongozwa na Nay wa mitego,pembeni white carpet kwa wana bongo fleva wakiongozwa na the president,Diamond platnumz.
kiingilio na mda vyote vinasomeka kwenye picha hapo juu,na kama jadi yetu,TEENTZ tutakuwa wa kwanza kukuletea picha yote ya kilichofanyika,Stay visting
COMMENTS