studio ya more cash iliyopo geita mjini imepata msala kwa kuibiwa kwa vifaa vyake vyote vya studio kwa mujibu wa producer ...
studio ya more cash iliyopo geita mjini imepata msala kwa kuibiwa kwa vifaa vyake vyote vya studio kwa mujibu wa producer alie kuwapo t.joh anadai zilikua ni njama za moja wa wahusika wa ile studio akishilikiana na msanii mmoja maarufu pande izo za geita
COMMENTS