YOU HEARD : PREZOO NA DIVA LOVENESS LOVE WAPO KWENYE MAPENZ...





YOU HEARD : PREZOO NA DIVA LOVENESS LOVE WAPO KWENYE MAPENZI MOTO MOTO

Posted by Teen Newz on May 10, 2013 at 3:43pm 0 Comments
Taarifa za siri ambazo zimefika mezani kwa muhariri zina nong'oneza kwamba Rapper tajiri nchini Kenya kwa sasa hivi yuko katika mahaba mazito na Mtangazaji wa kituo cha radio kikubwa nchini Tanzania, namzungumzia Diva Loveness Love wa Ala za Roho, inasemekana mahusiano yao yalianza wiki za karibuni baada ya Prezoo kudondoka bongo na alialikwa kwenye kipindi cha Ala za roho ndipo picha zima lilipo anzia, kama utani wakaanza kutania taniana, sasa usiku wa tukio hawakufanikiwa kwenda out lakini namba zilibadilishwa pale, kilichofata baada ya hapo sasa Prezzo akataka kwenda mpaka kwa kina binti lakini akazuiliwa wataalamu wa mambo wanasema penye nia pana njia, basi huenda time navyozungumza japo Prezzo hayuko bongo narudia tena…

COMMENTS

Name

AJIRA AND SCHOLARSHIPS,3,CELLEBS,5,love tips,1,MAGAZETI,5,michezo,8,MIX-NEWS,11,New audio,36,politics,1,sports,4,stori za mapenzi,1,technology,1,video,28,
ltr
item
MSABAHA BLOG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhD5RhMOMIoxT0q1jxNjpiZ7kgnPuhwgPujdN4IosPnSjvSQ5dwARtwpe8FguUrwrQDg1IZCcRgOY6Qnb-0hLQZT9eaOe9rYfDoSR7vszPhgevtBr7PtIsjEZT9CuPT_Jxkj578meEZddI/s400/prezzo.jpg?width=400
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhD5RhMOMIoxT0q1jxNjpiZ7kgnPuhwgPujdN4IosPnSjvSQ5dwARtwpe8FguUrwrQDg1IZCcRgOY6Qnb-0hLQZT9eaOe9rYfDoSR7vszPhgevtBr7PtIsjEZT9CuPT_Jxkj578meEZddI/s72-c/prezzo.jpg?width=400
MSABAHA BLOG
https://msabaha.blogspot.com/2013/05/teen-newz.html
https://msabaha.blogspot.com/
http://msabaha.blogspot.com/
http://msabaha.blogspot.com/2013/05/teen-newz.html
true
6741126810271918050
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy