Thursday, May 9, 2013 STEVE R&B AKIJIPA SHAVU SEHEMU MBALIMBALI UGHAIBUNI Steve RnB ni mmoja wa wasanii ambae amete...
Thursday, May 9, 2013
STEVE R&B AKIJIPA SHAVU SEHEMU MBALIMBALI UGHAIBUNI
Steve RnB ni mmoja wa wasanii ambae ametembea sana Europe mwaka huu. Mpaka sasa hivi ametembelea nchi sita :Germany ,Austria ,Belgium ,Holland, United Kingdom,na Turkey.
COMMENTS