Friday, May 31, 2013 M2THEP AONGEA KIFUA NDIO KINAMSUMBUA NA KICHWA AOMBA WATANZANIA WAMUOMBEE Leo hii, Millard ameing...
Friday, May 31, 2013
M2THEP AONGEA KIFUA NDIO KINAMSUMBUA NA KICHWA AOMBA WATANZANIA WAMUOMBEE
Leo hii, Millard ameingia wodi aliyolazwa M2thep na kuongea nae, ambapo amesema anajiskia vizuri lakini kifua ndio kinamuuma na kichwa ila anadhani akiendelea kunywa dawa siku mbili tatu atakuwa katika hali nzuri.
kati mazungumzo hayo, M2theP pia alimuulizia Ngwea, ambapo walimjibu ameshatangulia Tanzania.
msikilize millard hapa chini
COMMENTS