Mtoto wa Usher Raymond anusurika kuzama ndani ya pool la kuogelea,

Mtoto wa Usher Raymond anusurika kuzama ndani ya pool la kuogelea,

Mtoto wa Usher Raymond anusurika kuzama ndani ya pool la kuogelea, mama mzazi afungua mashtaka kudai kurudishiwa watoto wake ...

Mtoto wa Usher Raymond anusurika kuzama ndani ya pool la kuogelea, mama mzazi afungua mashtaka kudai kurudishiwa watoto wake

 Mtoto wa Usher Raymond anusurika kuzama ndani ya pool la kuogelea,
Mtoto a Usher Raymond mwenye miaka 5 awahishwa  hospitali kitengo cha watu mahututi (ICU) baada ya kunusurika kuzama ndani ya pool la kuogelea. Raymond V alikuwa na shangazi yake ndani ya pool lililopo nyumbani pale alipokwama katika tundu la pool hiyo alipokuwa akijaribu kufata toy.
Shangazi huyo na mfanya kazi walishindwa kutoa mkono wa mtoto huyo uliokuwa umenasa katika tundu hilo na kuanza kupiga makelele.
wafanyakazi waliokuwa akishughulikia audio na visual katika nyumba hiyo walikimbia na kujirusha kwenye pool na kumuokoa mtoto huyo ambapo iliwalazimu kumfanyia CPR (kumkandamiza kifuani) na hatimae kufanikiwa kumzindua.
Raymond V aliwahishwa hospitali ambapo anasemekana kuurudi katika hali yake ya ufahamu na anaendelea vizuri, Usher Raymond hakuwepo nyumbani kwake wakati tukio linatokea 
Raymond V ni mdogo wa watoto wawili wa Usher na mkewe wa zamani, Tameka Raymond, na alikabidhiwa na kupewa ruhusa ya kuwaangalia watoto wake  Agosti 2012, baada ya kutalakiana na mkewe huyo.
Mke huyo wa zamani wa Usher amepeleka hati za kisheria kuomba dharura ya kusikilizwa haraka wiki hii katika jitihada za kururudishiwa watoto wake baada ya baba yao kushindwa majukumu yake kama baba na kuwaachia watu wengine kuwaangalia watoto wake.

Ajali ya jana imetokea ikiwa ni mwaka tu tangu mtoto wa kambo wa Usher Kile Glover mwenye miaka 11 kufariki kwa ajali ya Jet Ski akiwa katika ziwa Lanier, Georgia.
Name

AJIRA AND SCHOLARSHIPS,3,CELLEBS,5,love tips,1,MAGAZETI,5,michezo,8,MIX-NEWS,11,New audio,36,politics,1,sports,4,stori za mapenzi,1,technology,1,video,28,
ltr
item
MSABAHA BLOG: Mtoto wa Usher Raymond anusurika kuzama ndani ya pool la kuogelea,
Mtoto wa Usher Raymond anusurika kuzama ndani ya pool la kuogelea,
http://4.bp.blogspot.com/-kZSYRKQVitk/UgGezrcJ2qI/AAAAAAAApDY/5pb5w0OKpkE/s320/usherraymond.jpg
http://4.bp.blogspot.com/-kZSYRKQVitk/UgGezrcJ2qI/AAAAAAAApDY/5pb5w0OKpkE/s72-c/usherraymond.jpg
MSABAHA BLOG
https://msabaha.blogspot.com/2013/08/mtoto-wa-usher-raymond-anusurika-kuzama.html
https://msabaha.blogspot.com/
http://msabaha.blogspot.com/
http://msabaha.blogspot.com/2013/08/mtoto-wa-usher-raymond-anusurika-kuzama.html
true
6741126810271918050
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy