Rais Zuma wa outh africa alifuja pesa za umma

Rais Zuma wa outh africa alifuja pesa za umma

Rais Zuma alifuja pesa za umma  19 Machi, 2014 - Saa 19:13 GMT Facebook Twitter Google+ Tuma kwa rafiki yako Chapisha ...

NEW AUDIO; IYANYA - HOLD ON
NEW AUDIO ASLAY FT OSAMA - TETE
AUDIO l Madada 6 - BAKARI

Rais Zuma alifuja pesa za umma

 19 Machi, 2014 - Saa 19:13 GMT
Ilivyokuwa nyumba ya Zuma kabla ya kukarabatiwa
Ripoti iliyosubiriwa kwa hamu kuhusu ufisadi nchini Afrika Kusini, imemkosoa vikali Rais Jacob Zuma kwa kujinufaisha na pesa zilizotumiwa kuikarabati nyumba yake binafasi katika mkoa wa Kwazulu Natal.
Ukarabati huo uligharimu dola milioni 23.
Inaarifiwa Zuma alisisitiza ukarabati huo, ufanywe.Katika ripoti yake , mdhibiti wa mali ya umma nchini humo,Thuli Madonsela, amesema kuwa Zuma alikiuka sheria za maadili na kujifaidisha na pesa za Umma.
Hata hivyo, ripoti hiyo ilisema kuwa hakudanganya wabunge kuhusu kashfa hiyo. Kadhalika wito umetolewa kuwa Zuma arejeshe sehemu ya pesa hizo ambazo hazikutumika kwa ajili ya usalama wake au vinginevyo.
Vyombo vya habari nchini humo vinadai kuwa baadhi ya pesa za umma zilitumiwa katika kufadhili mahitaji ya kifahari ya bwana Zuma kama bwawa la kuogelea na chumba cha sinema.
Mwandishi wa BBC nchini humo anasema kuwa ripoti hiyo itaathiri pakubwa sifa ya Zuma na chama tawala ANC, huku akijiandaa kwa uchaguzi mkuu katika kipindi cha wiki sita.


Name

AJIRA AND SCHOLARSHIPS,3,CELLEBS,5,love tips,1,MAGAZETI,5,michezo,8,MIX-NEWS,11,New audio,36,politics,1,sports,4,stori za mapenzi,1,technology,1,video,28,
ltr
item
MSABAHA BLOG: Rais Zuma wa outh africa alifuja pesa za umma
Rais Zuma wa outh africa alifuja pesa za umma
http://wscdn.bbc.co.uk/worldservice/assets/images/2013/11/29/131129125932_zuma_nkandla_304x171_reuters_nocredit.jpg
MSABAHA BLOG
https://msabaha.blogspot.com/2014/03/rais-zuma-wa-outh-africa-alifuja-pesa.html
https://msabaha.blogspot.com/
http://msabaha.blogspot.com/
http://msabaha.blogspot.com/2014/03/rais-zuma-wa-outh-africa-alifuja-pesa.html
true
6741126810271918050
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy