Cash Kings 2014: Forbes watoa list ya wasanii wa hiphop duniani wanaolipwa mkwanja mrefu Mwanzoni mwa mwaka huu Apple walimwaga do...
Cash Kings 2014: Forbes watoa list ya wasanii wa hiphop duniani wanaolipwa mkwanja mrefu

Mwanzoni mwa mwaka huu Apple
walimwaga dola biliono 3 kuinunua Beats, kampuni ilianzishwa na Dr Dre
na Jimmy Lovin, Ingawa ilikuwa ni haraka sana kudai kuwa msanii wa
kwanza bilionea wa hiphop (kitu ambacho hakiwezi kutoa sasa hivi) lakini
Dre yuko njiani kuelekea huku
Kwa
hivi sasa Dre amewatupa mbali wasanii kibao juu ya mafanikio ya kifedha
ambapo ndani ya miezi 12 iliyopita ameingiza dola milioni 620 (bila
makato). Kiwango hicho cha fedha sio tu kuwa ni kiwango kikubwa sana
kuingiza ndani ya mwaka kwa msanii (kilichowahi kuripotiwa na forbes) bali ni ni zaidi ya kuchanganya mapato ya wasanii 24 wanaomfata nyuma katika list ya wasanii wa hiphop wenye mkwanja 2014
Ads by CinPlus-2.5cAd Options
Nafasi
ya pili imekatwa na Didiy na Jay Z ambao wamefungana, wote wakiwa
wameingiza dola milioni 60, kama unakumbuka didy alikuwa nafasi ya
kwanza mwaka jana na Dre alikuwa nafasi ya 3.
nafasi ya nne imeshikiliwa na Drake ambaye ameingiza dola milioni 33, yakiwa ni mapato kutokana na album yake ya nne Nothing Was the Same,
ambayo imeuza kama copy millioni 4 duniani kote huku mkwanja mwingine ukiwa umetokana na tour ya Arena na endorsement deal ya Nike "Jordan" zimempeleka kuongeza kipato mara tatau ya mwaka jana alipokuwa na kipato cha dola milioni 10.5
wengine katika list hiyo nipamoja na
5. Macklemore & Ryan Lewis -
$32 million.
6. Kanye West: $30 million
7. Birdman: $24 million
8. Lil Wayne: $23 million
9. Pharrell Williams: $22 million
10. Eminem: $18 million
11. Nicki Minaj: $14 million
12. Wiz Khalifa: $13 million
13. Pitbull: $12 million
14. Snoop Dogg: $10 million
15. Kendrick Lamar: $9 million
COMMENTS