Hii n ajali mbaya zaid kutokea kwa madeleva wa kitanzania wa magari ya mizigo kumetoke moto katika site ambayo watz hupaki magari yao ba...
Hii n ajali mbaya zaid kutokea kwa madeleva wa kitanzania wa magari ya mizigo kumetoke moto katika site ambayo watz hupaki magari yao baada ya safari ndefu nchin Congo inasadikika malori zaid ya 200 yameungua na kuteketea kabisa na watz wengi kupoteza maisha eeh mungu walaze mahala pema peponi ndugu zetu wote waliathirika na ajali hii wape nafuu ya haraka Aaameen
COMMENTS