Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Askofu Josephat Gwajima akiwa ameshikana mkono na mshtakiwa mwenzake askofu msaidizi, Yekamia B...
Askofu
wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Askofu Josephat Gwajima akiwa ameshikana
mkono na mshtakiwa mwenzake askofu msaidizi, Yekamia Behagaza wakati
wakitoka katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam
leo, walipofikishwa mahakamani hapo kwa kosa la kutoa lugha za matusi na
kukutwa na silaha kinyume cha sheria.
Askofu
wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Askofu Josephat Gwajima (katikati) akiwa
na mshtakiwa mwenzake askofu msaidizi, Yekamia Behagaza wakati wakitoka
katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam leo,
walipofikishwa mahakamani hapo kwa kosa la kutoa lugha za matusi na
kukutwa na silaha kinyume cha sheria.
COMMENTS