Ali Kiba amficha Diamond Tuzo  za KILI Music Awards 2015 akichukua tuzo tano na Diamond Platnumz akichukua tuzo mbili tu

Ali Kiba amficha Diamond Tuzo za KILI Music Awards 2015 akichukua tuzo tano na Diamond Platnumz akichukua tuzo mbili tu

Staa wa filamu za Kibongo, Wema Sepetu 'Beautiful Onyinye'   akimtaja mshindi. Joh Makini  akiwashukuru mashabiki wake (...

NEW AUDIO ASLAY FT OSAMA - TETE
AUDIO l Madada 6 - BAKARI
DOWNLOAD AUDIO HAPPY BIRTHDAY - HARMONIZE

Staa wa filamu za Kibongo, Wema Sepetu 'Beautiful Onyinye' akimtaja mshindi.
Joh Makini akiwashukuru mashabiki wake (hawapo pichani) baada ya kuchukua Tuzo ya Mtunzi Bora wa Mwaka wa Hip Hop akiwa na Nikki wa Pili (kushoto).
MAJINA YA WASHINDI WA TUZO ZA KTMA 2015
1. KIKUNDI BORA CHA MWAKA - BONGO FLEVA - YAMOTO BAND
2. KIKUNDI BORA CHA MWAKA TAARAB - JAHAZI MODERN TAARAB
3. BENDI BORA YA MWAKA - FM ACADEMIA
4. MSANII BORA CHIPUKIZI - BARAKA DA PRINCE
5. WIMBO BORA WENYE VIONJO VYA ASILI YA KITANZANIA (WAITE) -MRISHO MPOTO FT. FELLY KANO
6. WIMBO BORA WA ZOUK/RHUMBA - NITAMPATA WAPI - DIAMOND PLATINUMZ
7. WIMBO BORA WA AFRO POP - MWANA ALI KIBA
8. VIDEO BORA YA MWANAMUZIKI YA MWAKA - MDOGOMDOGO - DIAMOND PLATINUMZ
9. MTAYARISHAJI BORA WA MWAKA BENDI - ENRICO
10. MTAYARISHAJI BORA WA NYIMBO WA MWAKA BONGO FLEVA - NAHREEL
11. MTUNZI BORA WA MWAKA- HIP HOP - JOH MAKINI
12. MTUNZI BORA WA MWAKA BENDI - JOSE MARA
13. MTUNZI BORA WA MWAKA BONGO FLEVA - ALI KIBA
14. MTUNZI BORA WA MWAKA TAARAB- MZEE YUSSUF
15. MTUMBUIZAJI BORA WA MUZIKI WA MWAKA WA KIUME - ALI KIBA
16. MTUMBUIZAJI BORA WA MUZIKI WA MWAKA WA KIKE - VENESSA MDEE
17. MWIMBAJI BORA WA KIUME TAARAB - MZEE YUSSUF
18. MWIMBAJI BORA WA KIUME BONGO FLEVA - ALI KIBA
19. MWIMBAJI BORA WA KIKE TAARAB - ISHA MASHAUZI
20. MWIMBAJI BORA WA KIKE BONGO FLEVA - VANESSA MDEE
21. WIMBO BORA WA TAARAB (MAPENZI HAYANA DHAMANA)- ISHA MASHAUZI
22. WIMBO BORA WA MWAKA (MWANA)- ALI KIBA
23. WIMBO BORA WA KISWAHILI BENDI (WALEWALE) -VIJANA WA NGWASUMA
24. WIMBO BORA WA R&B (SIKSIKII)- JUX
25. RAPA BORA WA HIP HOP - KIPI SIJASIKIA ( PROF J FT. DIAMOND PLATINUMZ)
26. MSANII BORA WA HIP HOP - JOH MAKINI
27. WIMBO BORA WA AFRIKA MASHARIKI (SURA YAKO) - SAUTI SOL
Name

AJIRA AND SCHOLARSHIPS,3,CELLEBS,5,love tips,1,MAGAZETI,5,michezo,8,MIX-NEWS,11,New audio,36,politics,1,sports,4,stori za mapenzi,1,technology,1,video,28,
ltr
item
MSABAHA BLOG: Ali Kiba amficha Diamond Tuzo za KILI Music Awards 2015 akichukua tuzo tano na Diamond Platnumz akichukua tuzo mbili tu
Ali Kiba amficha Diamond Tuzo za KILI Music Awards 2015 akichukua tuzo tano na Diamond Platnumz akichukua tuzo mbili tu
http://api.ning.com/files/Lf1B3Uv2G4uEszWDBjnSDczTAC45Cnf*mLVPmqJAhaCiKdqRoANjWOsGDWpIhm7HtHI82WZhBskPYNRghPHw-fvaLMwLHdSQ/IMG_0145.JPG?width=650
MSABAHA BLOG
https://msabaha.blogspot.com/2015/06/ali-kiba-amficha-diamond-tuzo-za-kili.html
https://msabaha.blogspot.com/
http://msabaha.blogspot.com/
http://msabaha.blogspot.com/2015/06/ali-kiba-amficha-diamond-tuzo-za-kili.html
true
6741126810271918050
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy