Wanachuo hao wametoa zawadi mbali mbali ikiwa ni pamoja na unga wa sembe kilo 50, Mchele,Sabuni, Box za Daftari,kalamu.pipi, soda ,biscut n...
Wanachuo hao wametoa zawadi mbali mbali ikiwa ni pamoja na unga wa sembe kilo 50, Mchele,Sabuni, Box za Daftari,kalamu.pipi, soda ,biscut na zawadi nyingine ikiwa ni pamoja na kushirikiana nao katika michezo tofauti ya kitoto
hapa wanafunzi wakiwa wamewasiri katika kituo hichodeen of students SAUT ARUSHA akiongea mbele ya waandishi wa habari
mzee mmiliki wa kituo hicho akitoa shukrani kwa wanafunzi hao
baadhi ya zawadi zilizotolewa na wanafunzi hao
wanachuo wakijumuika pamoja na watoto hao
hapa wanachuo wakicheza pamoja na watoto
COMMENTS