LOWASA AKARIBISHWA RASMI UKAWA

LOWASA AKARIBISHWA RASMI UKAWA

Viongozi wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA)  Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe (kulia), Mwenyekiti wa chama cha NCCR-Mageuzi Jame...

New Song Emoo Classic _ Tulia
New Song Rich Mavoko Kila Akitaja
Download New song Raymond - Kwetu
Viongozi wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA)  Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe (kulia), Mwenyekiti wa chama cha NCCR-Mageuzi James Mbatia (katikati) na Mwenyekiti wa CUF, Prof. Ibrahim Lipumba.
Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) umesema umemkaribisha rasmi Waziri Mkuu Mstaafu Mhe. Edward Lowassa kujiunga nao katika harakati za kuking’oa Chama cha Mapinduzi (CCM).
Mbatia: Tunamkaribisha rasmi aliyekuwa waziri mkuu mstaafu, Edward Ngoyaye Lowasa kujiunga na UKAWA, ni mchapakazi makini na mtekelezaji wa majukumu, UKAWA ndio tumaini la Tanzania, tusikubali kunyamaza pale ambapo sauti zetu zinazimwa kwa lazima. Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki UKAWA, UKAWA ndio tumaini letu.
mkuu_lowasa2.jpg
Waziri mkuu mstaafu, Edward Ngoyaye Lowasa.
Mbatia: Umoja ni nguvu na utengano ni udhaifu, kila chama kilichosajiliwa ni mpinzani kwa mwenzake. Watanzania wanahitaji kutengenezewa katiba ambayo itaweka mfumo safi. Mwanzoni wa mwezi wa nane(wiki ijayo) tutamtangaza mgombea wetu kwa mbwembwe, tumeshapiga hatua ambayo ni nzuri
Lipumba: “Lowasa alishasema yeyote mwenye ushahidi aulete..hapa tumekaribisha Watanzania wote kujiunga.
Kuhusu CUF kusuasua UKAWA: Chama chetu hakijasusua bali kilikuwa kinafuata taratibu za chama na mkutano mkuu umebariki, yeyote atakaechaguliwa kupitia UKAWA, mimi nitamuunga mkono, chama kimebariki maamuzi haya, unapozungumza na mwenyekiti wa CUF basi ndio unazungumza na CUF.

Name

AJIRA AND SCHOLARSHIPS,3,CELLEBS,5,love tips,1,MAGAZETI,5,michezo,8,MIX-NEWS,11,New audio,36,politics,1,sports,4,stori za mapenzi,1,technology,1,video,28,
ltr
item
MSABAHA BLOG: LOWASA AKARIBISHWA RASMI UKAWA
LOWASA AKARIBISHWA RASMI UKAWA
http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/07/ukawa.jpg
https://i.ytimg.com/vi/4xuyPpdYTvA/default.jpg
MSABAHA BLOG
https://msabaha.blogspot.com/2015/07/lowasa-akaribishwa-rasmi-ukawa.html
https://msabaha.blogspot.com/
http://msabaha.blogspot.com/
http://msabaha.blogspot.com/2015/07/lowasa-akaribishwa-rasmi-ukawa.html
true
6741126810271918050
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy