Waziri mkuu mstaafu Edward Lowassa aihama rasmi CCM na kuelekea CHADEMA hii leo, Ni katika vuguvugu la uchaguzi wa mwaka 2015. ...
Waziri mkuu mstaafu Edward Lowassa aihama rasmi CCM na kuelekea CHADEMA
hii leo, Ni katika vuguvugu
la uchaguzi wa mwaka 2015.
waziri mkuu mstaafu Edward Ngoyai Lowasa katika picha akiwa ameshika kadi YA CHADEMA yeye na mkewe katika hotel ya Bahari Beach Hotel jijini Dar es salaam kama ishara ya kuhamia chama icho.
Kikao hicho kilishuhudiwa na hotuba ya makamu mwenyeki wa CUF, Mwenyekiti wa NCCR Ndugu MBATIA na kisha hotuba nzuri na iliyo kua kivutio cha wengi hotuba ya mh. MBOWE

COMMENTS