Breaking News: Prof. Ibrahim Lipumba amejiuzulu rasmi kuwa mwenyekiti wa chama cha CUF

Breaking News: Prof. Ibrahim Lipumba amejiuzulu rasmi kuwa mwenyekiti wa chama cha CUF

Prof. Ibrahim Lipumba amejiuzulu rasmi kuwa mwenye kiti wa chama cha CUF. Lipumba amet...


Prof. Ibrahim Lipumba amejiuzulu rasmi kuwa mwenye kiti wa chama cha CUF.
Lipumba ametangaza uamzi huo muda mfupi ulopita kwenye hotel ya Peacock,Dar es sa salaam, amesema hataki kuendelea kushiriki katika mambo yanayoendelea kwasababu kuna vitu vingi vimekiukwa. Hatua hiyo imekuja baada ya mkutano wake na waandishi wa habari kuhairishwa ghafla siku ya jana, Mbali na kujivua uwenyekiti Lipumba amesema ataendelea kuwa mwanachama wa CUF.
Source: CloudsFm
Name

AJIRA AND SCHOLARSHIPS,3,CELLEBS,5,love tips,1,MAGAZETI,5,michezo,8,MIX-NEWS,11,New audio,36,politics,1,sports,4,stori za mapenzi,1,technology,1,video,28,
ltr
item
MSABAHA BLOG: Breaking News: Prof. Ibrahim Lipumba amejiuzulu rasmi kuwa mwenyekiti wa chama cha CUF
Breaking News: Prof. Ibrahim Lipumba amejiuzulu rasmi kuwa mwenyekiti wa chama cha CUF
http://i1.wp.com/teamtz.com/wp-content/uploads/2015/08/lipumba2.jpg?resize=600%2C380
MSABAHA BLOG
https://msabaha.blogspot.com/2015/08/breaking-news-prof-ibrahim-lipumba.html
https://msabaha.blogspot.com/
http://msabaha.blogspot.com/
http://msabaha.blogspot.com/2015/08/breaking-news-prof-ibrahim-lipumba.html
true
6741126810271918050
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy