Staa wa Bongo Fleva Diamond Platnumz anayo furaha kushare na sisi hii good news kwa kujipatia mtoto wa kike anyejulikana kama princes tif...
ah mtoto huyo wa Diamond platinumz tiyari yupo katika social media mcheki katika instagram account yake @princess_tiffah
ambapo mpaka sasa kwa masaa machache tu kafikisha followers zaidi ya 30.6k followers yaani zaidi ya elfu 30 duuuuu may God bless princess tiffah
Staa wa Bongo Fleva Diamond Platnumz anayo furaha kushare na sisi hii good news kwa kujipatia mtoto wa kike anyejulikana kama princes tiffambapo mpaka sasa kwa masaa machache tu kafikisha followers zaidi ya 30.6k followers yaani zaidi ya elfu 30 duuuuu may God bless princess tiffah
COMMENTS