Idadi kubwa ya watu imemiminika katika JIJI la Dar es salaam ambayo inakadiliwa kuwa haijawai kutokea katika kiwanja hicho. LEO 29/8/20...
Idadi kubwa ya watu imemiminika katika JIJI la Dar es salaam ambayo inakadiliwa kuwa haijawai kutokea katika kiwanja hicho.
LEO 29/8/2015 ndiyo ulikua ufungunzi wa kampeni kupitia vyama vya UKAWA ambapo mgombea kupitia kiti cha UKAWA ndg. Edward Ngoyai Lowasa ametoa hutuba fupi na amehaidi ataiweka katika website ya chama ambayo unaweza fuata link hii kuisoma hotuba yote ya mgombea huyo
BONYEZA HAPA KUIFUATILIA HOTUBA YA NDG. EDWARD NGOYAI LOWASA

COMMENTS