Hii ni picha iliyozua gumzo sana katika mitandao ya jamii ambayo imeonyesha waheshimiwa wawili LOWASSA NA SUMAYE wakionekana wameuchapa usi...
Hii ni picha iliyozua gumzo sana katika mitandao ya jamii ambayo imeonyesha waheshimiwa wawili LOWASSA NA SUMAYE wakionekana wameuchapa usingizi katika moja ya mikutano yao ya kampeni..sasa hapa aliyeichukua picha hii ndio anaweza kutupa jibu sahii je waheshimiwa hawa walikua wamelala ama ni photo shot ndo imewatoa hivo.. itazame vizuri
COMMENTS