Maelfu ya watu wa mji wa Geita wakimsikiliza mgombea huyo wa URAISI wananchi wakizipi kupunga mkono ishara ya ku...
wananchi wakizipi kupunga mkono ishara ya kutoa suport kwa mgombea huyo
kiwanja kilizizima idadi kubwa ya watu ambao hawajapata kuonekana wakiwa na umati mkubwa hivi
Mwisho ni hotuba ya mgombea huyo ambapo alielezea mambo mengi ikiwemo kulinda maslahi ya wachimbaji wadogo wa dhahabu.
>># kabla hajamaliza hotuba yake ziliskika kelele za watu wakimuomba apige push up ndipo aka waita wasanii waliokuepo kupiga push up kwaniaba yake
COMMENTS