Hapa akiwapungia mkono maelfu ya wananchi waliojitokeza kwenye mkutano huo Ule usemi wa nabii hakubaliki kwao umeshindwa kufanya ka...
Hapa akiwapungia mkono maelfu ya wananchi waliojitokeza kwenye mkutano huo

Ule usemi wa nabii hakubaliki kwao umeshindwa kufanya kazi katika jimbo la MAGUFULI pale
alipopokelewa leo CHATO kwa mapokezi mazito sana na kwakiasi kikubwa nabii huyo kakubalika kwao. Magufuli akiwa chato amehutubia maelfu ya watu na kumnadi mrithi wake wa jimbo dr kaleman na amehaidi kimsaidia endapo watapata nafasi
mkutano ulifanyika katika shule ya sekondari CHATO mkoani GEITA.
(picha na michuzi )
COMMENTS