Dakika 90 zimeshindwa kuamua mshindi wa mechi kati ya timu ya taifa ya TANZANIA TAIFA stars na timu ya taifa ya Tanzania GREEN EAGLES kw...
Dakika 90 zimeshindwa kuamua mshindi wa mechi kati ya timu ya taifa ya TANZANIA TAIFA stars
na timu ya taifa ya Tanzania GREEN EAGLES kwa kutoka suluhu bin pacha ya 0-0.
Kiasi kikubwa Taifa stars imemiliki mpira kiasi kikubwa sana kuliko hata NIGERIA hiyo imewatia moyo mashabiki wengi walio hudhuria katika kiwanja hicho.
COMMENTS