SAID KUBENEA ATOA KASHFA NZITO KWA  DR.SLAA AKIWA KYELA MBEYA

SAID KUBENEA ATOA KASHFA NZITO KWA DR.SLAA AKIWA KYELA MBEYA

Mwandishi wa habari maarufu hapa Tanzania ambae pia anagombea ubunge kupitia jimbo la ubungo jijini Dar es salaam ametoa hoja na madai maz...

Mwandishi wa habari maarufu hapa Tanzania ambae pia anagombea ubunge kupitia jimbo la ubungo jijini Dar es salaam ametoa hoja na madai mazito yanayoonekana kama ni ya kumchafua DR.SLAA hivi ni baadhi ya alivovisema:-

1. Amesimulia sakata zima la Richmond kwa kudai kuwa wakati likiwakilishwa bungeni kulikuwa na ripoti mbili. Moja ya kumchafua Lowassa na ya pili ikidai Kikwete ndo mhusika wa Richmond
Amesema aliyekuwa akipinga ujio wa Lowassa Chadema ni Baregu na siyo Dr Slaa.
2. Amesema kamati kuu ya chadema ilijiridhisha kuwa Dr Slaa asingeweza kushinda uchaguzi wa mwaka huu kama angesimamishwa kuwa mgombea wa urais
3. Amedai kilichomponza Slaa ni mkewe ambaye alikuwa na uchu wa kuwa first lady
4. Baada ya hapo,Slaa alianza kampeni za kumpinga Lowassa ili ateuliwe yeye. Alimtuma Sugu aende Mbeya akawaambie waumini wa makanisa yote kuwa wao wanamtaka Slaa na sio Lowassa, lkn Sugu Alikataa.
5. Slaa pia alijaribu kumrubuni Tundu Lissu atangaze kumpinga Lowassa lakini naye alikataa pia na kujikuta akibaki peke yake, hali iliyomfanya ajivue uanachana
6. Amesema Slaa alikuwa Padri akaasi,alikuwa na mke akaasi, alikuwa CCM akajitoa, je ana principle gani za kuwashawishi watanzania wamuamini?
Dr Slaa ni msaliti na anatumia umaarufu wake vibaya
7. Slaa anadai kuwa nyaraka za Richmond alipewa na Mwakyembe, lakini ukweli ni kuwa mwakenye hawezi kuwa mtu sahihi wa kutoa nyaraka za Richmond kwa sababu wakati wa Ripoti hiyo, Mwakyembe alikuwa na kampuni yake ya kufua umeme ambayo alitaka ipite. Baada ya kukwama ndo akaanza ugomvi na Lowassa
Name

AJIRA AND SCHOLARSHIPS,3,CELLEBS,5,love tips,1,MAGAZETI,5,michezo,8,MIX-NEWS,11,New audio,36,politics,1,sports,4,stori za mapenzi,1,technology,1,video,28,
ltr
item
MSABAHA BLOG: SAID KUBENEA ATOA KASHFA NZITO KWA DR.SLAA AKIWA KYELA MBEYA
SAID KUBENEA ATOA KASHFA NZITO KWA DR.SLAA AKIWA KYELA MBEYA
http://www.bongossip.com/wp-content/uploads/2015/09/6b6a1-5.jpg
MSABAHA BLOG
https://msabaha.blogspot.com/2015/09/said-kubenea-atoa-kashfa-nzito-kwa.html
https://msabaha.blogspot.com/
http://msabaha.blogspot.com/
http://msabaha.blogspot.com/2015/09/said-kubenea-atoa-kashfa-nzito-kwa.html
true
6741126810271918050
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy