Amissi Tambwe na Ngoma wakishangilia goli la kwanza. Leo ilikua ni mechi ie ya watani wa jadi yaani SIMBA na YANGA ambapo Yanga...
Amissi Tambwe na Ngoma wakishangilia goli la kwanza.
Leo ilikua ni mechi ie ya watani wa jadi yaani SIMBA na YANGA ambapo Yanga imeshinda kwa jumla ya mabao 2-0
Bao la kwanza la Yanga liliwekwa kimyani na shambuliaji Amissi Tambwe dakika ya 44.
Malimi Busungu nae akamipa bao la pili
na la kuongoza kwa timu yake hiyo dakika ya 79 akimalizia mpira wa
kurushwa wa Mbuyu Twite.
Dakika 90 zimemalizika, Yanga akiondoka na pointi tatu mhimu na kuendelea kujikita kileneni mwa Ligi Kuu Tanzania Bara.
PICHA NA MUSSA MATEJA/GPL
COMMENTS