(Pembeni ni picha ya ndege inayosadikika kuanguka na kupoteza maisha ya Deo Filikunjombe) Deo Filikunjombe aliyekuwa anatetea jimbo ...
(Pembeni ni picha ya ndege inayosadikika kuanguka na kupoteza maisha ya Deo Filikunjombe)
Deo Filikunjombe aliyekuwa anatetea jimbo lake la LUDEWA kwa tiketi ya CCM anakuwa mbunge wa sita kupoteza maisha katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 25 mwaka huu na hivyo utalazimu pia uchaguzi wa ubunge kuahiriswa kwenye jimbo hilo.

Kamishna wa operesheni na mafunzo wa Jeshi la polisi, nchini Tanzania Paul Chagonja amethibitisha kutokea kwa ajali ya helikopta Nnamba 5YDKK katika eneo la pori la selou kwenye kijiji cha Mtende mkoani Morogoro iliyosabaaisha vifo vya watu wanne akiwemo mgombea wa ubunge jimbo la Njombe Deo Filikunjombe.
COMMENTS